Destiny Nyangeta alipofanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipozaliwa na alifanyiwa sherehe na wazazi wake MK na Boss Lady, Greenbelt Maryland.
Keki ya Birthday
MK na Boss Lady wakimsaidia Nyangeta kukata keki
Omby akimlisha Destiny keki
Destiny akilisha keki mama yake
Destiny na mama yake katika picha
Destiny na baba yake katika picha
kwa picha zaidi bofya read more
Destiny na mama yake katika picha ya pamoja
Destiny akiwa na wazazi wake
Boss Lady na Destiny
Wageni waalikwa na watoto wao wakipata picha ya kumbukumbu na Destiny akiwa amebebwa na mama yake
1 comment:
khee anaitwa bossy lady huyu mama anajina ?? happy bday nyangeta
Post a Comment