Advertisements

Wednesday, March 6, 2013

CITY ARTS ILIYOANDALIAWA NA UBALOZI WA NEW YORK YAFANA KWA NGOMA KUTOKA KWA O'NKOSI ERICK FUNGO

Hapa Erick Fungo akipata ukodak na Mh. Balozi Manongi, Mr Melo  na Mama Rose maafisa wa ubalozini hapo
Erick akipata ukodak na bolozi wa Kenya katika umoja wamataifa, Mh balozi huyo wa Kenya aliudhulia pia ubalozini hapo.

No comments: