Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV akiongea jambo huku walimu waliojitolea kuwafundisha watoto wakimsikiliza
Juu na chini ni Watoto waliojitokeza kwenye darasa la kiswahili lililoanzishwa rasmi leo Jumamosi March 23, 2023 na jumuiya ya Watanzania DMV watoto wa Kitanzania waliojiandikisha ni 25
Watoto wakitembezwa kuonyeshwa madarasa yao na wengine wakisindikizwa na wazazi wao
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn.Amos Cherehani (wapili toka kulia) akiongea jambo kuwaeleza wazazi na Watoto waliofika kwa mafunzo ya lugha ya kiswahili.
Watoto wakimsikiliza katibu wa Jumuiya.
Watoto na makamu wa Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Raymond Abraham (mwenye kofia) akifuatilia anachosema katibu
Juu na chini ni Watoto na wazazi waliofika kwenye darasa la lugha ya kiswahili wakifuatilia jambo
2 comments:
Hongera sana kwa wazo zuri, wakirudi nyumbani wataweza kuwasiliana na kila mtu, na wazazi tuwazoeshe watoto kuzungumza kiswahli hasa kwa kipindi hichi cha mafunzo ya lugha kiswhili.
Kwanza kabisa naupongeza uongozi wa Jumuiya yetu kwa vision hiyo,kwa kweli hii ni vizuri sana na nawaomba Watanzania wenzangu tuungane na Jumuiya yetu kuendeleza kiswahili kwa kuandikisha watoto wetu kwa wingi. Asanteni viongozi wa jumuiya na walimu wetu,Mungu awabariki sana.
Post a Comment