ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 21, 2013

DARASA LA KISWAHILI- DMV


UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI WA DARASA LA KISWAHILI LA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KWA AJILI YA WATOTO WA KITANZANIA BADO UNAENDELEA. DARASA LA KISWAHILI LITAANZA RASMI JUMAMOSI HII
TAREHE 23 MARCH 2013 SAA 4:30PM
3621 CAMPUS DRIVE, COLLEGE PARK, MARYLAND
“NAFASI ZIMEBAKI CHACHE”
MWANDIKISHE  MTOTO WAKO LEO ILI AIJUE LUGHA YA MAMA, LUGHA YA WAZAZI, LUGHA YA TAIFA LA TANZANIA
“MASOMO  NI BURE, HAKUNA MALIPO YOYOTE”
SIMU: 301-793-2833
SIMU: 240-645-2131
E-MAIL: info@watanzaniadmv.org
KATIBU

No comments: