Advertisements

Friday, March 22, 2013

Dk Shein ahitimisha ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba


 Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Ofisi zililizondani ya Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo uliofanyika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba


 Viongozi na watendaji wa Ofisi mbali mbali zililizondani ya Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza
na Viongozi hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo,ukumbi wa Skuli ya Fidel kastro Vitongoji Pemba


 Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Khamis Ali,baada ya kusoma Quran tukufu,iliyosomwa kwa ajili ya kuupa Baraka mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya Rais katika Mkoa wa Kusini Pemba huko Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Pemba. 


 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa,alipokuwa akiwashukuru viongozi mbali mbali kwa ushiriki wao katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,aliyoifanya katika Mkoa huo,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba


  Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi mbalimbali na watendaji wa Mkoa wa kusini Pemba jana,katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba


Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi mbalimbali na watendaji wa Mkoa wa kusini Pemba jana,katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba,katika mkutano wa Majumuisho ya ziara yake,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,na (kulia)Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui



Picha na Ramadhan Othman, Pemba

No comments: