Advertisements

Sunday, March 31, 2013

DARASA LA LUGHA YA KISWAHILI KWA WATOTO, DMV


Mwalimu Flora Mkande akiwaelekeza jambo watoto wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya kiswahili katika madarasa yanayoendelea College Park, Maryland chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV.

 Wanafunzi wakipata picha ya pamoja wakati somo likiendelea
Darasa lingine likiendelea huku mwalimu Asha Nyang'anyi akiendelea kuwafundisha watoto lugha ya kiswahili
 Darasa lingine kama unavyoona wanafunzi watoto wa Wazazi Watanzania wakiendelea na darasa lao la kiswahili.
Watoto wanaojifunza lugha ya kiswahili wakiwa darasani
 Watoto wakiwemo darasani wakiendelea kujifunza lugha ya kiswahili
Watoto wakiwemo darasani huku wakisaidiwa na Benadeta (aliyesimama)
 Wanafunzi wakiendelea na somo lao la lugha ya kiswahili huku mwalimu wao akifuatilia jambo
Waliosima watatu katikati ni uongonzi wa Jumuiya Rais Idd Sandaly (wapili toka kushoto), Makamu wake Raymond Abraham (kati), muekahazina, Genes Malasy (wapili toka kulia) wakifuatilia mafunzo ya watoto yanavyoendea wengine waliosimama ni walimu Asha Nyang'anyi (kushoto) na Benadeta.
kwa picha zaidi bofya read more

No comments: