Advertisements

Sunday, March 31, 2013

KWAYA YA KANISA LA INJILI KWA NJIA YA MSALABA YAJINOA TAYARI KWA PASAKA

Dogoo akiwa kwenye simu yake akifuatilia kwaya ya kanisa la injili kwa njia ya msalaba ilipokua ikijifua tayari kwa ibada ya pasaka itakayofanyika leo Jumapili Marcha 31, 2013
mkung'utaji gitaa la kwanza akijifua na wanakwaya wenzake
Kiongozi wa kwaya, Mubelwa Bandio  (aliyesimama) akiwaongoza wanakwaya wenzake katika kujifua na nyimbo mbalimbali kwa ajili ya ibada ya pasaka itakayofanyika leo Jumapili March 31, 2013

No comments: