Advertisements

Sunday, March 31, 2013

Kina Ras Makunja sijue wamejiandaa vipi na wapenda muziki??katika Pasaka?

Tunatumaini kila mmoja amejiandaa vema katika kufurahia sikukuu ya Pasaka,
Na bila shaka wapenda muziki na wamejiandaa kusheza muziki waupendao.

Lakini wapo wale ambao wanapenda kucheza muziki aina....?! nadhani
akina Ras Makunja kama waonekavyo wapo tayari tayari kumchezesha
yeyote yule atakaye taka kuchezeshwa "Extraordinary Bongo Tambarare"

Tunajua mziki wao ni mtamu kuusikiliza ,tena unanoga ukipenda mwenyewe
kucheza ...lakini wakihamua kukuchezesha mmm!! ni hatari sana
bora mwenzangu ujitulize na pasaka kuliko kuwa bipu aki ras makunja.
Ni bora kucheza muziki wa utulivu kuliko kuchezwa na wajamaa kina
Ras Makunja

No comments: