Kajala na Wema wakikumbatiana
Mrembo Wema Sepetu leo amemake headline baada ya kutoa mfukoni mwake shilingi milioni 13 kulipa faini aliyopigwa muigizaji mwenzie Kajala Masanja aliyehukumiwa leo kwenda jela miaka mitano ama kulipa kiasi hicho cha fedha.Akizungumza exclusively na Bongo5, Wema amesema hakufikiria mara mbili kutoa kiasi hicho cha fedha.
“Kusema kweli wanasemaga kwamba kutoa ni moyo so naamini what I did is best, nimetoa kwasababu I had to do it and sikuthink twice kuhusu kufanya hivyo,” amesema Wema.
Wema akwa na Kajala
“Nimefanya kama namsaidia rafiki yangu kama namsaidia ndugu yangu na sidhani kama ingekuwa ni kitu kizuri kumuona mwenzako anaingia kwenye dhahama, kwenye tabu, kwenye mateso na wakati nina uwezo wa kumsaidia kwahiyo I just did what I had to do.”
Kuachiwa kwa Kajala kumepokelewa kwa furaha kubwa na mastaa mbalimbali nchini.
Cpwaa
So I hear Kajala is out! Good news..Hongereni sana wana BOngoMovies! Bongoflava tujipangeni..tutaendelea kupigwa bao kila siku while we are sitting on a Multi-Billion Industry, it’s time to stop fantasizing posing in front of camera poppin bottles of Champagne,Rented Fancy cars,Cheap Wardrobe n ( No..The Ladies are fine,I love them too sitaki ubaguzi)… Tufikirie kibiashara zaidi na sio sifa tu.
Rio Pol
It’s a blessed Monday I say this because finally someone stood up and did something right and righteous. I’ve worked in the entertainment industry for the past seven years and no star or their glam team or entourage would do what Miss Wema Abraham Sepetu did. Thank you god both my girls Elizabeth Michael and Kajala Masanja are free. God bless you wema.
Kajala akikumbatiana na Zamaradi
Mboni MasimbaKAJALA outtttttttttt# Mungu mkubwa # WEMA mwokozi wa KAJALA # Mwenyez Mungu akuzdishie na akupe ulipo pungukiwa. Una moyo wa pekee. Lov u always my Dogo
Ben Pol
Nimemvulia kofia Wema, ameni-inspire …moyo kama huo anao mtu mmoja Kati ya Milioni moja, watu hujifanya wakisikitika humu twitter tu…
Elizabeth Michael aka Lulu
Welcome back kay wangu…….Kajala wangu….mamy wangu
2 comments:
Nimesisimka sana kwa Wema kutoa kiasi kikubwa cha pesa kwa rafiki yake na huku ndio kwanza anaanza kujiimarisha kibiashara na bado ni mdogo lakini anaona mbali sana, amefanya kitu chema kama jina lake.
Hongera WEMA Mungu akuzidishie mara mia.
janani tujuzuni binti kajalia kafanyaje mpaka atake kuweka rumande story sijapata please tujuzuni
na big up wema sepetu wema eeeh anawema kweli mtoto huyu mungu akujaliye kila la kheri mama akupe mume unayempenda na yeye akakupenda mje mzae watoto wema na muishi msiachane amin thats my prayer to you baby wema wema
msg kutoka nchi ya baba obamaa kwa machizi wa mchi wa NY
Post a Comment