Birigedia Jenerali Emmanuel Maganga akiwa na mkewe Love Maganga na kadogoo Jumamosi March 23, 2013 siku familia ya Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Mkama walipomualika chakula cha jioni kwa ajili ya kumuaga. Brigedia Jenerali Maganga ndie aliyekua Mwambata wa Jeshi wa kwanza kwenye Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC.
Brigedia Jenerali na mkewe wakiongea mchache kuwashukuru wenyeji wao na watu walijumuika nao.
Watu mbalimbali wakiwapa zawadi na kuwatakia safari njema.
Dereva Balozi na mkewe wakipata picha ya kumbukumbu
Love maganga katika picha ya pamoja na Mrs Malasy
Kutoka kushoto ni Dkt. Mkama, Matinyi na Arthur Gao katika picha ya pamoja.
Kushoto ni Loveness Mamuya na Afisa habari wa Ubalozi Mindi Kasiga katika picha ya pamoja.
Lovenes Mamuya na Mindi Kasiga katika picha ya pamoja na Mama mwenyeji wao, mama Mkama
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment