ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 19, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Untitled from Luke Joe on Vimeo.

3 comments:

Anonymous said...

Wadau naomba kuuliza swali; hivi Tanzania kuna matawi ya vyama vya sisa kama vile Labor party (UK), Democracy na Republican (USA)?

Anonymous said...

Good job, nimeanza kuwa fan, mkasi wa Dmv

Anonymous said...

alichosema Dullah Yoo kina ukweli saaaaana na ndio kinachoturudisha nyuma wabongo hapa USA...KUPEANA WRONG INFORMATION....utamuuliza mtu aliekaa hapa siku nyingi zaidi yako ukidhani kuwa anajua zaidi lakini ndio atakaekupa wrong info. hasa mambo ya uhamiaji...mimi pia nilipewa very wrong info.

nilichofanya ni kupiga simu uhamiaji mi mwenyewe na kucheck online nikapata info. za uhakika.

nadhani watu wanapeana wrong info. sababu wengine wanataka kukatisha wenzao tamaa na wengine hawajui ila hawajui kama hawajui...

bi mkora