Freddie Selengia akiifurahia medal yake baada ya kukimbia km 21, alitumia saa 2 na dk15
Akiwa na uso wa furaha ni Victor Selengia (aliyesimama nyuma) yeye alikimbia km 21 na alitumia saa 2 na dk 5

Gilbet Uisso (kushoto) ambaye Sales Maketing Manager wa Bonite Bottlers LTD yeye alikimbia km 21 alitumia saa 2 na dk 30 akipata ukodak na Freddie Selengie
Mbio hizo zijulikanazo kama 'Kilimanjaro International Marathon' zilianzia Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Zilishirikisha wakiambiaji zaidi ya elfu kumi. Zilikuwa za km 5, 21 na 42 na kuishia hapo hapo katika Chuo cha Ushirika, na baadae kufuatiwa na burudani mbalimbali ya vikundi tofauti vya burudani na wasanii mbalimbali
Kwa picha zaidi bofya read more













No comments:
Post a Comment