Jay Dee
Mwanamuziki LadyJay Dee sasa yuko mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya ambao bado haujatoka utakaokwenda kwa jina la ''Joto, Hasira'' ambao amemshirikisha Pro. Jay.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mwanadada Jide ameendelea kuweka picha na kuweka wazi kuwa siku ya jana ndio amemaliza kutengeneza video ya huo wimbo wake huo.

No comments:
Post a Comment