Tutakuunga mkono sana tu lakini kwanza weka jina lenye lugha sahihi. Tuacheni ulimbukeni wa kutaka kukiiga Kiingereza kinavyotumika. Huwezi kusema Landa ya Tz Mgahawa kana kwamba unataka kusema "Tanzanian Taste Restaurant."
Kwa usahihi ni: Mgawaha wa Ladha ya Kitanzania.
Badili jina kwanza ndiyo tuje. Acha ushamba wa lugha.
Hongera, nitakutafuta nikiwa maeneo Ya DMV, nilikuwa nikienda Kilimanjaro miaka ya mwanzoni ya tisini, naona biashara yao ilianguka sijawasikia tena. Sasa tafuta na bia za kitanzania.
Wewe ndio mshamba kwani umeambiwa ni watz pekee ndio wataenda kumuunga mkono kuna wazungu, wachina, waspanish na mataifa kibao ..may be wanataka kutest Tanzania n food watuaje..hebu tupishe huko Tuwe na umoja na kushirikiana jamani dah majungu tu
3 comments:
Tutakuunga mkono sana tu lakini kwanza weka jina lenye lugha sahihi. Tuacheni ulimbukeni wa kutaka kukiiga Kiingereza kinavyotumika. Huwezi kusema Landa ya Tz Mgahawa kana kwamba unataka kusema "Tanzanian Taste Restaurant."
Kwa usahihi ni: Mgawaha wa Ladha ya Kitanzania.
Badili jina kwanza ndiyo tuje. Acha ushamba wa lugha.
Hongera, nitakutafuta nikiwa maeneo Ya DMV, nilikuwa nikienda Kilimanjaro miaka ya mwanzoni ya tisini, naona biashara yao ilianguka sijawasikia tena. Sasa tafuta na bia za kitanzania.
Wewe ndio mshamba kwani umeambiwa ni watz pekee ndio wataenda kumuunga mkono kuna wazungu, wachina, waspanish na mataifa kibao ..may be wanataka kutest Tanzania n food watuaje..hebu tupishe huko
Tuwe na umoja na kushirikiana jamani dah majungu tu
Post a Comment