ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 20, 2013

Lwakatare afutiwa mashtaka ya awali na kukamatwa tena kwa mashtaka mengine..

Mkuu wa usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo, Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick Rwezaura wamefutiwa mashtaka ya awali yaliyokuwa yanawakabili katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kuachiwa huru na hatimae kukamatwa tena na kusomewa mashtaka mengine.

No comments: