ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 2, 2013

MASAHIHISHO YA TAREHE YA UCHAGUZI CCM DMV


 
Email address:ccmwashdc@gmail.com

TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CCM TAWI LA DMV
Wanachama wa CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa CCM katika Tawi La DMV utakaofanyika:
SIKU: JUMAMOSI  16, 2013
MUDA:  SAA 9 JIONI (3pm) Tafadhali zingatia muda.
MAHALI: TUTAWATANGAZIA
 Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi Ndugu
Yacob Kinyemi, Simu (202)-629-7841, email: yacob1972@yahoo.com
                                Faraja Isingo, Simu   ( 301-592-7581)
Nafasi zitakazogombaniwa  ni :
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Umoja wa  Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti Umoja  wa Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Umoja wa Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti Umoja wa Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Umoja wa Wazazi ya Tawi
11) Wajumbe 10 wa halmashauri ya Tawi
SIFA ZA MGOMBEA:
1.       Awe na umri kuanzia miaka 18
2.       Awe mwachama hai wa CCM  mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za uchaguzi ziwakilishwe kwa MwenyeKiti wa Kamati ya Uchaguzi (HIDAYA MAHITA) na zikiambatanishwa na kopi ya kadi ya uanachama kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784     Email: ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33 SILVER SPRING MD 20903


MWISHO WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI  TAREHE 8 MARCH 2013
Kushiriki kwako bila kukosa ndio kufanikisha Uchaguzi huu.
Umoja ni Ushindi
Kidumu chama cha Mapinduzi

Kwa fomu bofya read more

 1709 Hampshire Green  lane#33,  Silver spring MD20903                                                                                                 Tel. 1(240)271-7799
                                                                      Fax: 1(888)835-5784  
                                                                        ccmwashdc @gmail.com.                                                                                                                                                                                                                                                                 
…………………………………….………………………………………………………………………………………………………………….                                                                                                                                                                                                                               

FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI
A.     HABARI BINAFSI
1.      Jina kamili……………………………………………….....................................
2.      Tarehe ya kuzaliwa ………………………………..............................................
3.      Mahali unapoishi
Mji/Jiji …………………………………………………………………………
Nchi ……………………………………………………………………………
Simu ………………………… Barua pepe……………………………………
4.      Namba ya kadi ya CCM………………………………………………………..

B.     USHIRIKA KATIKA SIASA
1.      Umewahi kushika nyadhifa yeyote ile katika CCM au jumuiya yeyote ya CCM?  Jibu;  NDIO / HAPANA.
Kama  NDIO taja  ni nyazifa ipi ………………………………………………..
Muda ulioshika nyazifa hiyo/hizo ………………………………………………
2.       Uzoefu katika siasa …………………………………………………………….
3.      Nafasi unayogombea…………………………………………………………

C.     UTHIBITISHO WA MUOMBAJI
Mimi ………………………………………………………..(Jina kamili),  nakiri kuwa maelezo niliyatowa katika fomu hii ni sahihi kwa uelewa wangu.   


 Saini ……………………….
 Tarehe ……………………….



No comments: