Juu na chini ni Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika eneo maalum ambapo Ndipo harakati za kutafuta Uhuru wa Tanzania zilikuwa zikifanyika.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 Taifa wakiwa katika Moja ya Kumbukumbu hizo
Rais wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo, akielezea kwa kina juu ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 na kumshukuru Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa kwa kuwakaribisha katika Manispaa Hiyo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya Pamoja
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Silaa akiwakaribisha washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Manispaa ya Ilala
Mmoja wa washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 , kutoka Kanda Maalum ya Zanzibar akitoa Shukurani kwa niaba ya Warembo wenzake
Muheshimiwa Jerry Silaa Akizungumza na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Muheshimiwa Meya wa Manispaa Jerry Silaa
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa nje ya Jengo la Manispaa ya Ilala
Washiriki wa Miss Utalii Taifa 2012/13 wakiwa na Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Ilala Bi. Shani wa kwanza kushoto, ambaye ndiye alikuwa anatoa maelezo yote ya kina kuhusiana na eneo hilo Muhimu kwa Taifa la Tanzania.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika Mnara wa Mashujaa uliopo Mnazi Mmoja , Manispaa ya Ilala
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Mnazi Mmoja Ambapo ndio Chimbuko la Jina hilo la Mnazi Mmoja lilipo tokea.
No comments:
Post a Comment