
Chinua Achebe Enzi ya uhai wake
Mwandishi aliyekamata Dunia mwaka 1958 kwa uandishi wa kitabu chake cha 'Things Fall Apart', Chinua Achebe ameferiki akiwa na umri wa miaka 82. Chinua Achebe mwenye vitabu zaidi ya 20 aliyekua akitembea Dunia nzima na simulizi zake kuhusu Afrika na alishatunukiwa nishani mbalimbali kutokana na uandishi wa vitabu vyake hasa cha 'Things Fall Apart.
No comments:
Post a Comment