ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEKEND NEW YORK

Birthday girl Bahia akipata ukodak na marafiki zake wakiwa Tropican Grill Jamaica New York
Vijana walioenda kushow love katika birthday party hiyo 
Eneo la vip likiwa na watu wawili watatu muda huo
Mambo yalianza yakiongezeka ukumbini hapo, 
kwa picha zaidi bofya read more 

No comments: