Tamasha hilo kubwa la burudani linaloratibiwa na Mwanamuziki wa Bongo Fleva wa nchini humo Dk. Jose Chameleone linataraji kufanyika Aprili 26, mwaka huu katika viwanja vya Rugby vya Kyadondo.
Akizungumzia Tamasha hilo Chameleone katika moja ya kurasa zake za Facebook na Twitter, amesema mambo yanaebnda poa na Wasanii kibao wamethibitisha kushiriki tamasha hilo.
Mbali na Prof. J na Mr Nice kutoka Tanzania, wengine ni Redsan kutoka Kenya,Massamba wa nchini Rwanda.
No comments:
Post a Comment