
Email address:ccmwashdc@gmail.com
TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CCM TAWI LA DMV
Wanachama wa CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa CCM katika Tawi La DMV utakaofanyika:
MUDA: SAA 9 JIONI (3pm) Tafadhali zingatia muda.
MAHALI: TUTAWATANGAZIA
Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi Ndugu
Faraja Isingo, Simu ( 301-592-7581)
Nafasi zitakazogombaniwa ni :
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Umoja wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti Umoja wa Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Umoja wa Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti Umoja wa Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Umoja wa Wazazi ya Tawi
11) Wajumbe 10 wa halmashauri ya Tawi
SIFA ZA MGOMBEA:
1. Awe na umri kuanzia miaka 18
2. Awe mwachama hai wa CCM mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za uchaguzi ziwakilishwe kwa MwenyeKiti wa Kamati ya Uchaguzi (HIDAYA MAHITA) na zikiambatanishwa na kopi ya kadi ya uanachama kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784 Email: ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33 SILVER SPRING MD 20903
MWISHO WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI TAREHE 8 MARCH 2013
Kushiriki kwako bila kukosa ndio kufanikisha Uchaguzi huu.
Umoja ni Ushindi
Kidumu chama cha Mapinduzi
Kwa fomu Bofya Read more
No comments:
Post a Comment