Advertisements

Thursday, April 4, 2013

AFRICAN CUP 2013 JULY 13 BOSTON, MASSACHUSETTS



Timu ya Tanzania
African Cup 2013 itafanyika Boston Massachusetts July 13, 2013 na wakati huu utakua mwezi wa ramadhani kwa hiyo tunawaomba wachezaji Watanzania wenye uwezo idara zote popote pale ulipo hapa Marekani, Canada na kwingineko kuja kushiriki mashindano haya na kuipeperusha bendera ya Tanzania hadi fainali na hatimae kuchukua kikombe cha African Cup nje ya ardhi ya Bara la Africa.

Kama upo tayari kushiriki, tafadhali wasiliana na Mully 857 312 8345, Salum 617 308 2971 au Libe 240 423 3331. Ushiriki wako ndio mafanikio ya timu Tanzania kwenye mashindano haya

Timu ya Liberia

Timu ya Zambia

Timu ya Uganda
Timu ya Kenya

No comments: