Taarifa za uhakika zinasema baadhi mitandap (website) inayotumia
huduma za JOOMLA hazitakuwa hewani kwa muda wa masaa machache,
kutokana Joomla ku update softwire mpya ambazo zitawezesha mitandao hiyo
kuwa na kiwango bora zaidi na kuweza kushinda katika mashindano ya kibiashara
duniani.
Msiwe na wasi wasi mnapoona baadhi ya mitandao kutokuwepo hewani kwa masaa fulani. JOOMLA wanafanya mambo.
No comments:
Post a Comment