ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 12, 2013

UMOJA WA MATAIFA WAZITAKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KUTOA USHIRIKIANO KWA SOMALIA


Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Masuala ya Kisiasa nchini Somalia Balozi Dr. Augustine Mahiga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo ametoa wito kwa nchi za Afrika mashariki kuichukulia Somalia kama taifa lingine lolote na kulipa ushirikiano kwani kwa sasa lina amani na utulivu tofauti na watu walivyokuwa wakilifikiria. Kulia ni Msemaji wa Ofisi ya UN inayoshughulikia suala la Somalia Nick Binback.

No comments: