ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 16, 2013

Ghorofa ya kwanza ya jengo la shirika la nyumba imeteketea kwa moto

Moto umeteketeza gorofa ya kwanza ya jengo la shirika la nyumba la taifa iliyopo mtaa wa uhuru eneo la Clock Tower jijini Dar es Salaam na kusababisha hali ya taharuki kwa wapangaji wa majengo yaliyopo karibu na eneo hilo.

No comments: