ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 17, 2013

Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani imezua malumbano bungeni.

Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ya mapitio na makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma kwa mwaka wa fedha 2013/14 imezua malumbano bungeni kabla ya kuwasilishwa na kuilazimu kamati ya kanuni za bunge kukutana kwa dharura ili kuijadili kabla ya kuwasilishwa rasmi bungeni.

No comments: