Kitendo cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi.Wema Sepetu,
na kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha"Udhalilishaji wa Mwanamke" . kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kuielekeza jamii kuishi
kwa kufuata na kuheshimu maadili ,lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni kiongozi wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na Bi.Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi.Penny,kitendo hiki ni cha "kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania" Tunaowaomba akinamamana kinadada na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video,vcd,cd pia kugomea kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanywa na mwamuzikiNasibu Abdul Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wotewa kitanzania popote pale walipo.
Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na
na kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za "Udhalilishaji wa Mwanamke"
Wanawake wote ambao wamempa like au ad katika mitandao kama facebook kujiondoa mara moja na kogemea kununuajarida au gazeti lolote lile litakalo mpamba mwanamuziki huyo.
20 comments:
KAMA MUNAOMBA HAYA MJITAJE MAJINA MBONA MNAOGOPA,
WANAUME WANGAPI WANAWALIZA WANAWAKE NA HAMUONGEI.
MIE MWANAMKE ACHENI KUMUONEA WIVU DIAMOND.
WANAUME WENGINE NI MBWA PIA NA MAISHA YANAENDELEA MNAWAFANYA NINI
NA YEYE ALIENDA KUPIGA SIMU ANAMSUMBUA SI MUMUAMBIE AENDELEE NA MAISHA YAKE NA SIO KUSUMBUA MWANAUME/KIJANA WA WATU ALICHOKA
MBONA HAMUANGALII HILO?
WANAWAKLE WANAYO HAKI YAO KIKATIBA KUMSUSIA DIAMOND. LAKINI PIA KABLA HAWAJAFANYA HIVYO, WAJIULIZE KAMA WAMEWAHI KUKOSEA NA WAKASAMEHEWA? JE, WANAUME WALIOWAHI KUKOSEWA NA WANAWAKE NAO WAUNGANE ILI WASUSIE SHOWS NA BIDHAA ZA WANAWAKE WALIOWAKOSEA? WOTE TUKIFANYA HIVYO TUTAKUWA TUNATOA MFANO GANI KWA VIZAZI VIJAVYO?
MIMI NASEMA NI MWANAMKE NITAENDA AKOME UMALAYA ALITUMWA KUPIGA SIMU??? AU NA KAWAHII WANWAKE WOOOOOOOOOOOOTE MTAPEWA MILONI 13?? NYIE MNAWIVU TUU NA NAFIKIRI ANAYEENIKA HII TOPIC NI MWANAMME NASEMA HUYO KAVULIWA NGUO BARABARANI?? NAICHUKIA HII TOPIC NASEMA TENA TNA TENA MIMI NI MWANAMKE NITENDAAAAAAA
Hivi, huyu mwanamuziki alipigiwa simu na wanawake wote wa ki-Tanzania kumtongoza halafu akawarekodi?
Watanzania hebu tuache roho mbaya jamani. Najaribu kufikiria kama mtanzania ndiye angekuwa anatoa viza za marekani, nafikiri hapa DMV angekuwepo balozi na maafisa wake tu.
Watanzania kuendelea itakuwa ni ngumu sana. Badala ya kushughulikia mambo ya maendeleo, tunapenda sana kujuhusisha na mambo ambayo hayatuhusu. Aliyepiga simu ni Wema na aliyepokea simu na kurekodi mazungungumzo ni Diamond na mchumba wake. Lakini kuna watu wanaumia na kukunja sura zao kama vile wamekunywa maji ya limao au wanakamuliwa majipu. Kwa nini lakini?
This the same drama they have been playing with each other for a couple years now. It's seems like that is how they both stay relevant. I don't see why that nonsense has to be the reason why women should boycott his shows. As a woman I'd tell Wema to respect herself and stop calling or drunk calling or drunk texting the dude. "His just not that into you, ANYMORE!" Woman use your free and go if you like his music or don't go if you aren't into is music.
Dueces!!!!!
KWANZA HUYO ALIYESEMA KUWA WANAWAKE WAMSUSIE DIAMOND YEYE NI MSAFI? YEYE MWENYEWE ANA MAKASHFA YA KILA AINA KUNA MTU ANAMGOMEA KUNUNUA MANGUO YAKE? HUO UGOMVI WA HUYO WEMA NA DIAMOND HAUSIANI NA SHOW YA DIAMOND...ACHENI UJINGA MIE BINAFSI NI MWANAMKE NA SIPENDELEI UPANDE WOWOTE KAMA WOTE NI MAPEPE HAYATUHUSU. WANAWAKE MKIENDA AU MSIPOENDA NI CHOICE YENU NA PESA ZENU......
Jamani msimdikilize huto makengeza amexhanganyikiwa yake yanamshinda kazi kushadadia ya watu
kamdhalilisha wema mwenyewe sasa hivi anajukomba ooh msiende ahow inahuuu
huyu wema hamnazo anatafuta attension kwa dimond ashazoea kuandikwa andikwa anajua fika nasib ana mpenzicwa unapiga simu ya nini? Kama siovuchonganish? Tena usiku?
Unataka nini ?amemsumbua dimond kwamasim wanagombana na penjy kwa ajili yake
Watu nendeni mkajimwage vzuri sana asie mjua ni nani huyo wema sepetu utulivu ni sifuri anapenda attension utampigiaje xwako especially usiku na unajua fika yupo na mpenzi wake? Nia na dhumuni alikuwa anataka dimond aachane na penny
Watu wasinunue manguo yako maana wewe ni mama wa ushari kila mtu kumparamia hutaki watu wakuandike andike ila wewe kuyavumisha ya watu hujambo
haikuhusuuuuuuuuuu muwache kijana wa watu au na wewe unataka uonje?
Wewe ukajivunjie heshima alafu utafute support kwa wanawake kivipi? Jiheshimu kwanza then support utazipata. Tena hii show inaweza kufanya Diamond ajizolee extra fans. Hebu elekezeni nguvu kwenye mambo ya maana achaneni na attention seekers.
Mwacheni Diamond jamani, huyo wema alipiga simu ya nini ? kaachwa atafute wake. anapenda sana Drama.
hahahahahahah!!! wadauzi mnaniacha hoi eti WEMA watu ndo wagome huyo mdada anayesema hivo ana matatizo! Yeye kutwa kutukana watu na kuwandika vibaya tena basi HADI ANATOA EMAILS WATU AMBAO AMEKOROFISHANA NAO BUT NANI ANASEMA WATU WASINUNUE MANGUO YAKE? WATU NENDENI BANA ACHANENI NA HUYO MGAGAGIGIKOKO.....
Huyu dada aliyepost hii topic jwenye blog yake na yeye hana tofauti na Wema full mascandal ili wapate publicity. SHOW YA DIAMOND TUNAENDA TENA KWA NGUVU ZOTE, NA NILIKUWA SINA NIA YA KWENDA NA SASA NITAENDA. ATUONDOLEE UBULLY WAKE, NDIO MASHOSTI ZAKE WA UKWELI WAMEMDELETE KWASABABU YA UJINGA WAKE YEYE AENDELEE KUUZA VINGUO VYAKE HIVYO.
Huyo anaye sema watu wasiende kwa show ya Diamond, mbona yeye alipigwa na Advocate Maige pale Level 8 club mbona akutangazia umma waache kumtumia Maige kama advocate? Ni wivu tuu ndo unamsumbua! Diamond kafanya kosa kurusha clip, but I can defend him labda alikuwa amechoka na tabia ya Wema na hivyo ndivyo alivyo react na situation, and everyone is different we can't react the same!! Wema yeye anampenzi wake sasa anabembeleza penzi kwa Diamond kwanini? Sasa siye tutee umalaya au? SIJAMUELEWA HUYU DADA KABISA, I GUESS SHE NEEDS ANOTHER MASTERS TO BE A CRITICAL THINKER!! Hapa victim ni Penny and Diamond tuu, Wema just got the test of her own medicine-too bad was too big to swallow and to sweet to spit-it-out!!
Kwn uyu alieleta ii topic ni nan? Inaonekana kuna wanaomjua. So my point hapa ni watanzania kuangalia mambo ya maana, tuachane na haya mambo yao ya kijinga ya kina wema na diamond. Tuna meng ya kuzungumza na kujadili ya maendeleo ya ustawi wa nchi yetu. Ao wachazoea kutengeneza h line za magazeti.
naomba kutoa maoni kwa hii article,na kisha nitatoa ushauri. niliisikiliza kwa makini ile clip ya mazungumzo ya Wema na Diamond na Penny, clip hiyo iliendelea kwa mwandishi kumhoji Wema kuhusiana na clip ya mazungumzo hayo, Wema mwenyewe alikanusha kwamba sio yeye katika clip hiyo. Sasa huyu mwandishi wa hii article analazimisha kwamba aliepiga simu alikuwa Wema wakati Wema mwenyewe amekanusha. Mimi ni mtanzania ninayeishi nje ya nchi, nimebaini watu wenye vipaji kama muziki, michezo nk. wanawaniwa sana kama walivyo matajiri na watu waliopata mafanikio. ndio maana watu wa aina hiyo wanazungukwa na vituko vingi katika maisha yao, vikiwemo wanawake kutembea na wanaume wengi anaowataka, na wanaume kutembea na wanawake wengi anaowataka. huyu Wema pamoja na wengine wanaelewa kwamba Diamond ni mtu mmoja na tayari ana mwanamke kinyumba, lakini wote bado wanamtaka huyo huyo. Sina uhakika labda talented people ni wachache, au ni kutengeneza drama ambazo kwa njia moja zinasaidia kumuongezea mtu umaarufu. Ushauri kwa vijana wetu wa kike na kiume, wafanye kazi kwa bidii na kuishi na maadili mema, umaarufu na mafanikio yatakuja tu. Huyu alieandika article anamshutumu Diamond kwa anachokiita kumdhalilisha Wema, lakini hasemi chochote kuhusu tabia chafu aliyoionyesha Wema kupigia simu wanaume waliolala na wake zao, na kama huyo Diamond angekuwa nae yeye angejisikiaje kuona wanawake wengine wanamtongoza ile wamtoe kutoka kwake?
WEMW ALIKANUSHA SIYE HANA HABARI SASA SISI TUNA RUMABANA NINI?? PIGANIENI YAAMAANA USAFIRI BORA MAJI,UMEME, MAHOSPITAL YA SERIKALI YANATISHA MNAKALIA UJINGA WA MAPENZI MIMI NI MWANAMKE NITAKWENDA KWA DAIMOND SHOW NA WEWE UNAYEBEZA MAUNGU ULIYEKAMILIKA TOA PICHA YAKO TUKONE SHWAANIIII WEEE WEWE UNJIJIJUA KESHO UTAKUWAJE???? HUJAFA HHUJAUMBIKA, """ WEEE UKISUSA WENZIO TWALA""" UPOHAPO!!!!
Watanzania kwa chuki na wivu lol .
JAMANI MIMI SIJAFAHAMUKILICHOTENDEKA
ILA KAMA KAFANYAHIVYO SIYO BUSARA, NAFIKIRI HIYO YAWEZAKUA MOJA YA USHAMBA NAKUTOKUWA NA ELIMU , HII SOCIAL MEDIA TUSHIKE TOFAUTI, TUSHIJE KUPAKA KOSAMAFUTA.KAMA AMEKOSEA NIBORA AKAOMBE TOBA. TUSIJEKUSIRIMUKIA MAPENZI BILAKUWAZATUKIFANYACHO.
Post a Comment