ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 15, 2013

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDURAHMAN KINANA AWASILI MAHENGE



1 
3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akishuka kutoka kwenye Kivuko cha Mto Kilombero leo akiwa njiani kuelekea Mahenge ambako atakuwa akiongea na wananchi na kuamsha ari ya kushiriki katika shughuli za maendeleo na kukagua uhai wa chama pia kukagua shughuli za maendeleo katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi leo jioni atahutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Mahenge 4 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akipata vitumbua baada ya kununua  kutoka kwa mmoja wa akina mama mara baada ya kuvuka mto Kilombero na ujumbe wake 5 
Katibu wa  NEC Itikidi na Uenezi Nape Nnauye naye alipata Kitumbua kama anavyoonekana pichani 6 
Ndugu Abdurahman Kinana akiingia kwenye gari tayari kwa kuanza msafara wa kuelekea Mahenge 
kwa picha zidi bofya read more
7 
Nape Nnauye akijaribu kupanda katika moja ya mitumbwi ya wavuvi wa mto Kilombero. 8 
Haji Mponda kulia Mbunge wa Ulanga Magaharibi akizungumza na katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana mara baada ya kumpokea katika mto  Kilombero . 9 
Ndugu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Ulanga mara baada ya kuwasili ofisini hapo kwa ajiji ya kupata taarifa za chama 14 
  16 
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo 18 

No comments: