ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 16, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe 17 from Luke Joe on Vimeo.

10 comments:

Anonymous said...

Dj luke hii topic ya leo imenigusa mimi binafsi.Namuunga mkono mkwavi kwamba vyama hapa marekani havitusaidii kwa chochote. Benja kajitahidi kuelezea umuhimu wake lakini yote aliyosema ni kazi ya jumuiya na si ya ccm wala chadema wala cuf au nccr mageuzi. I can agree kwamba tunaanzisha hivi vyama vya siasa kwa sababu ya ushabiki kama vile simba na yanga lakini sio kutunufaisha wabongo hapa marekani.Another thing Yassin randi naona anajaza nafasi tu..the dude anaongea pumba tu. Najuwa ni kijiwe na wote tumekaa vijiweni bongo please make some sense ukiongea bwana randi. Sidhani kama kakaa kijiweni huyu bongo.We dont need vyama hapa ughaibuni..tujiunge na jumuiya tuachane na ushabiki ili tuendeleze taifa letu..DEUCES!!

Anonymous said...

Jabir Jongo ...yeye anasikiliza tu jamaa ana busara sana.

Anonymous said...

Benja ha ha haaaaaa wape wape bana wana kuja na kibegi kimoja wana rudi Bongo na Mabegi 30 hii kali sana.

Anonymous said...

Hamna hata mmoja Ana make sanse labda Jabiry peek yake chama ni muhimu kuwepo na jumuiya ni muhimu lazima tuwe na vyama ugaibuni lazimaaaaa

Anonymous said...

Mkwavi sijuwi mvuvi unaongea pumba jumuiya ni jamii ya Watu wote na vyama. Ni mapendeleo ya mtu. So jumuiya ni muhimu isipokuwa vyama ni zaidi kushiriki kuleta maendeleo ya nchi yetu jumuiya hayongei siasa vyama ni siasa

Anonymous said...

Nadhani ni kutofautisha mambo hapa. Jumuia za Watanzania hizijuhusishi na mambo yote ya kisiasa. Ni jumuia za kusaidia mambo ya watanzania wakiwa ughaibuni.

Vyama vya kisiasa ughaibuni ni kujaribu kuelimisha na kukosoa yale yanayofanyika nchini kwetu.

Kiongozi anapoitwa kuongea na watanzania ni mkutano kwa wote haijali ni mwanachama au sio mwanachama.

Vyama vya kisasa ni vyombo vya kufanya sauti zetu zisikike na hatuwezi kuongojea. Mfano suala la upigaji kura,urai pacha na huduma za afya. ni mifano ambayo inahitaji sauti zetu. Je sauti zetu zitasikaje kama hatuna vyombo kama hivi.

Anonymous said...

kipindi kinazidi kuwa kizuri, ila kwa watu wa bongo uwe unakipost asubuhi ya saa moja ktk michuzi ,na sio saa nne ya bongo, kwa sababu watu wengi hapa bongo tuna access ya computer asubuhi, baadaye huwa tunafanya kazi .

Anonymous said...

Hiyo Milango na Hizo funguo plz unawapowahoji waambie watulize hizo funguo waweke chini na milango isiwe unafunguliwa funguliwa kila wakati plz hiyo milango mtie mafuta duh kama mko uswahili vile!

Anonymous said...

Vyama havina mpango huku ni Yale yale yanayofanyika nyumbani yanaletwa huku ili baazi ya watu wajinufaishe havina faida kwa mtanzania wa hapa wala bongo sana sana vinaleta majungu na mgawanyiko..MPIGANAJI

Anonymous said...

yote mliyosema ni ya naana sana mimi sikubaliani na vyama kilasiku naonandungu zangu wanakufa alafu mimi nachangia chama hapo hakuna napenda kipindi chenu