ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 22, 2013

LADY JAY DEE AFUNGUKA


Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupost yafuatyao
Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!
Hizi hapa chini ni baadhi ya 'tweets' zilizotumwa na msanii huyo hapo nyuma
Lady JayDee ?@JideJaydee
Hata nyimbo zisipopigwa now mi sio underground, won't complain. Nani asiemjua JayDEe? Am not crazy
Lady JayDee ?@JideJaydee
Basi mjue kuwa tatizo langu sio nyimbo kutopigwa redioni. Its more than that. U dig??
Lady JayDee ?@JideJaydee
Now nategemea nguvu ya uma #diehardfans
Lady JayDee ?@JideJaydee

1 comment:

Anonymous said...

Anatapatapa, al