
Dj kwenye 1 & 2
Rapper wa Kenya Jackson Makini aka Prezzo jana usiku alidondosha show ya ukweli kwenye ukumbi wa New Maisha Club ambapo alisindikizwa na wasanii kibao. Miongoni mwa waliompa kampani ni pamoja na maswahiba wake, Mwana FA na AY, TID, Hemedy na Stereo. Hizi ni picha za show hiyo.

Hemedy akiperform


Hemed PHD

Stereo kwenye stage

Stereo akichana kwa hisia

Prezzo





Prezzo na TID wakipongezana kwa kazi nzuri

Mnyama akiwa na Rapsident



Hapo vipi?






AY

254 meets 255


AY akiperform na Prezzo



Mwana FA


FA na Prezzo





AY, Prezzo na FA



Prezzo na mrembo kwenye stage
1 comment:
ebwana eeeh shuruali ya prezzoo imeiona majameni eeeeh, niko huku majuu hijaona design hii naomba animbiye kapata wapi jamani bongo bongo nuksi eeeh
NY
Post a Comment