Advertisements

Wednesday, April 10, 2013

mastaa wa Kenya katika RedCarpet ya MTV Africa All Stars Event, ya Ijumaa iliyopita


Ijumaa iliyopita kulikuwa na Bonge la show jijini Nairobi ya mastaa wa kiafrika wanaofanya muziki wa kizazi kipya, ambapo tulihudhuria, na hizi ni baadhi ya picha za mastaa waliopita RedCapert na baadae kuhudhuria shopw katika ukumbi wa Tree House
Huyo hapo juu ni P Unit

  Amani 
 Abbas Kubaff
 Kanja and his Dancers
Kulia kwenda kushoto Shaffie, Aurther K, Bernard 
Xstatic

No comments: