Advertisements

Wednesday, April 10, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIBADILISHANA MAWAZO NA WABUNGE MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, leo Aprili 10, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia), Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo (Wa pili kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, leo Aprili 10, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiteta na Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Abdullah Turky kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, leo Aprili 10, 2013.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: