ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 9, 2013

Mh. Janet Mbene, Naibu Waziri wa Fedha, alipotembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Washington, D.C

Mh. Janet Mbene, Naibu Waziri wa Fedha, alipotembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Washington, D.C. Aprili 9, 2013. Wakiwa pamoja ni Kaimu Balozi, Bi. Lily Munanka na Afisa Ubalozi Bw. Paul Mwafongo. Mh. Mbene yuko nchini Marekani kushiriki Mkutano ulioandaliwa na
Benki ya Dunia kuzungumzia uboreshaji wa Mifuko ya Pension katika nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwa ni mojawapo.

3 comments:

Anonymous said...

Tunaona sana , Maafisa wa ubalozi hapa DC na viongozi wa nyanja mbali mbali za serikali kwenye picha hapa DC.

Kwanini amuandai vikao au makutano ya hao viongozi na watanzania tunao ishi hapa Washington DC au Marekani kujadili maendeleo na opportunities.

Wakenya, Warwanda na wengine ndio wanavyofanya .

Picha tu, hazitusaidii.

Anonymous said...

Asante kwa maoni yako,
Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC uko wazi na unakaribishwa kuja kuonana na Balozi au maafisa wake, usisubiri mpaka waje viongozi kutoa maoni yako kuhusu masuala ya maendeleo.

Anonymous said...

Asante kwa maoni yako,
Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC uko wazi na unakaribishwa kuja kuonana na Balozi au maafisa wake, usisubiri mpaka waje viongozi kutoa maoni yako.