Advertisements

Monday, April 8, 2013

MKURUGENZI WA VIZION ONE ACHANGIA MATAYARISHO YA SHEREHE YA VIJIMAMBO

Mkurugenzi wa Vizion One, Abdallah Kitwara akiangalia kitu kwenye Vijimambo Blog wakati akijiandaa kutia saini cheki ya kusaidia maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Blog ya Vijimambo itakayoambatana na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani. Sherehe hiyo itafanyika July 6, 2013
 Mkurugenzi wa Vizion One, Abdallah Kitwara akimkabidhi Dj Luke cheki ya kusaidia matayarisho ya sherehe ya Blog ya Vijimambo itakayofanyika July 6, 2013 maeneo ya Capitol Heights, Maryland.

3 comments:

Anonymous said...

Mwenyezi Mungu atakupa mara mia ya ulichotoa bro Abdallah!! Wewe ni mfano wa kuigwa kwa jinsi ulivyo na utu,kutojikweza,mtaratibu na muungwana,ni wachache wenye sifa hizi. Ubarikiwe zaidi.

simwanza said...

Safi saaana kusadia wenzetu

Anonymous said...

Mambo si ndiyo hayo! Hongera sana Ndugu Kitwara. Kiswahili ni lugha inayostahili kutukuzwa na kuendelezwa kwa udi na uvumba. Je, wengine wasiyoweza kutoa "hundi" kama "Mzee wa Vizion", washiriki vipi katika matayarisho ya kufanikisha shughuli hii? I am extremely proud to see our two young Tanzanian men shaking hands in support of a good course. Well done.