Safi Ally Ngairi Enzi ya Uhai wake.
Mashaka Bilal wa DMV anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Safi Ally Ngairi kilichotokea leo Tanzania saa 6:30 mchana kwa saa za Marekani ET na Tanzania saa 1:30 jioni.
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu ukipata nafasi msiba DMV upo
7957 Riggs Rd Apt 11,
Hyattsville, MD 20783
Au
Piga simu 240 205 1560
No comments:
Post a Comment