ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 20, 2013

UBALOZI WASHINGTON, DC, WAMKARIBISHA MHE. WAZIRI WA FEDHA NA UJUMBE WAKE CHAKULA CHA JIONI

Mhe. Warizi wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akiongea machache na kumshukuru Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka na Maafisa Ubalozi wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC kwa kuwaandalia chakula cha jioni yeye na ujumbe wake Jumamosi April 20, 2013 kwenye ukumbi wa kukmbukumbu ya Mwal. Julius Nyerere uliopo Ubalozini hapo.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Lily Munanka akiongea machache kumshukuru Mhe. Waziri na Ujumbe wake kwenye chakula cha jioni leo Washington, DC.
Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa (kushoto) akimsikiliza Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka wakati alipokua akiongea machache kumshukuru Mhe. Waziri na ujumbe wake.
Maafisa Ubalozi wakimsikiliza kaimu Balozi Mhe. Liliy Munanka (hayupo pichani)
Monica Mwamunyange Kamishna wa Bajeti akiwa na Afisa Habari Ubalozi wa Tanzania Washington, Dc, Mindi Kasiga.
Kushoto ni Bi  Natu Mwamba Naibu Gavana akiwa na Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango
Kushoto ni Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA na DR. Philip Mpango Katibu Mtendaji  Ofisi ya Rais,Tume ya Mipango  
kutoka kushoto ni Bi  Natu Mwamba Naibu Gavana, Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango , Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA
kutoka kushoto ni Bi  Natu Mwamba Naibu Gavana, Prof Rutastara Longlusi Naibu Katibu Mtendaji tume ya Mipango , Harry Kitilya Kamishna Mkuu wa TRA, DR. Philip Mpango Katibu Mtendaji  Ofisi ya Rais,Tume ya Mipango na  Prof. Benno Ndulu Gavana wa Benki kuu
Juu na chini ni Mhe. Waziri na Ujumbe wake pamoja na Kaimu Balozi na Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani katika picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi bofya read more


2 comments:

Anonymous said...

Huyu Generali bado yupo au macho yangu? Nakumbuka aliisha agwa siku nyingi sana.

Anonymous said...

mimi pianashangaha huyu GENERALI badoyupo?