Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya -
Kikundi cha ulinzi cha Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA maarufu kama Red Brigade kikipita eneo la Soweto mkoani Mbeya-

Mgombea Urais wa UKAWA Kupitia CHADEMA Leo atakuwa Jijini Mbeya kwa ajili ya kutambulishwa na kusaka wadhamini.
Hapa kuna picha kadhaa za shamrashamra za wananchi wakimsubiri kwa hamu kubwa uwanja wa ndege wa Songwe.





6 comments:
Mbona ndo kwanza kumekucha!lazima waisome number kwa kweli,lazima waachie,nyota El nyota baba hakuna wa kuzuia hiyo edo ni nyota tu.
Kazi wanayo chichiemu,walizoea mtelemko,now this is what u call upinzani,cha muhimu ni kulinda kura hakuna kulala.
Thanks God watanzania wameamka,nchi yoyote haiwezi kupiga hatua bila upinzani,ni lazima kuwe na upinzani ili walio madarakani wajue kwamba hayo madaraka ni uamuzi wa wananchi.
upinzani upi??? hivi huyo jamaa anaijua hata ilani ya anachokigommbea.
We we acha unoko
Anonymous Anonymous said...
upinzani upi??? hivi huyo jamaa anaijua hata ilani ya anachokigommbea.
August 14, 2015 at 10:33 PM
Magufuli anajuwa nini zaudi ya kuwa Hitler
Kama maendeleo yanaonekana kwa barabara
Watanzania hatuitaji barabara za lami
Tunataka maji, elimu, afya, Na maisha bora izo barabara za lami si wemye magari Na mafisadi wa CCM wanazitumia
sasa lowasa kama fisadi utamwita nani, kununua chama cha siasa nini huko, anonymous wa 10:33pm anapenda kutumia neno hitler kama anamjua vile au hata historia ya vita vya pili ya dunia kama ana clue. dogo oktoba utatoa povu sana
Post a Comment