Advertisements

Friday, April 12, 2013

MTANDAO WA PR HABARI WAPATA MKOKO WAKE

Gari ya Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ unaongozwa na mwenyekiti Spear Patrick unatarajia kuzindua hivi karibuni Gari la mtandao huo ambao litakuwa na matangazo mbalimbali ya kazi za kampuni hiyoo
GARI HIYO INAVYO ONEKANA KWA NYUMA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mwenyekiti wa Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ Spear Patrick akionesha moja ya upande uliokua na matangazo hayo


Mafundi wakiendelea kuiremba gari hiyo
Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/


Mwenyekiti wa Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ Spear Patrickakiwa amepozi


MKOKO WA Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/

No comments: