ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 20, 2013

ONLY IN NEW YORK CITY


New York City kila siku ni Halloween watu huvaa vituko kuvutia watalii kama unavyoona katika picha. Na watu hupenda kupiga picha na watu wenye mavazi ya ajabu kama unavyoona katika picha. Hapa ni kitovu cha New York City Time Square.

No comments: