ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 16, 2013

Spika wa bunge akerwa na baadhi ya wabunge wanaotoa lugha za matusi.

Spika wa bunge Mh. Anne Makinda ameonesha kukerwa na tabia ya baadhi ya wabunge kutoa lugha za matusi na za kudhalilishana bungeni na kuonya vikali kuwa mbunge yeyote atakayetumia lugha ya matusi au ya kudhalilisha bungeni atatumia askari kumtoa nje ya bunge kutokana na uvumilivu wa vitendo hivyo kufika kikomo.

No comments: