ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 16, 2013

TANGAZO LA MSIBA NA MISA


Familia ya Joyce na Stella Mbaga waishio Durham NC wanasikitika kutangaza kifo cha dada yao Maria Hubert Mbaga kilichotokea Juzi nyumbani Tanzania.
 
Ndugu, Jamaa na Marafiki wote mnaalikwa kwenye misa ya kumuombea marehemu dada mpendwa siku ya Jumamosi tarehe 20/4/2013. saa 10 jioni nyumbani kwa Joyce.
 
 3019 Sprucewood Dr, Durham NC 27705.
 
Mungu amlaze mahali pema peponi, Amen.

No comments: