Advertisements

Tuesday, April 23, 2013

WANAWAKE WA KISENEGAL KWA MIEREKA UTAWATAKA

Kuvutana nywele hairuhusiwi wakati wa miereka lakini refari haonekani kama anawatizama wawili hawa
Nchini Senegal, miereka ya kitamaduni inapendwa zaidi kuliko soka huku wachezaji wakijipatia pesa nyingi na hata kuwa watu maarufu. Katika sehemu nyingi za nchi mchezo huu ni wa wanaume pekee lakini katika maeneo ya mashinani , hususan Kusini mwa nchi, kuna historia ndefu ya wanawake kushiriki miereka na ndio maana timu yua taifa inajumuisha watu kutoka eneo hilo. Picha na maelezo: Laeila Adjovi.
Full Organic Sirefina Diediou
Sirefina Diediou alijiunga na kikosi cha taifa mwaka jana. Anasema likuwa anapigana na vijana alipokuwa shuleni na ilimchukua mamake muda kukubali kuwa anapenda mchezo huu.

No comments: