Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo amekutana na Makamu wa Rais na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya BG Group ya Afrika Mashariki, Sam Iskander yeye na maofisa aliokuwa anawaongoza walikuwa na mazungumzo ya kikazi na Waziri Mkuu ofisini kwake Magogoni Dar es Salaam. (Picha na Chris Mfinanga)
No comments:
Post a Comment