ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 19, 2013

WEMA AFUNGUKA ACHOKA NA DRAMA SOMA ALICHO KISEMA


Ni maneno aliyoyaandika Wema Sepetu kuonesha kuwa amechoka na vingi vinavyoendelea katika Maisha yake kama superstar, ... Check alichoandika hapa chini :
" One day l be dead and gone, im sure many of u will cry alot... thez goin to be alot of good stuff said abt wema... even those of u who loath me soo much are goin to remember me even if I dint do anything or leave any mark in your lives... I jus wanna say one thing, I hav never bin so tired of living my whole life... im soo tired. Ive had enuf of human beings... im frustrated, I feel miserable... try put urselves in my shoes. I dont think thez a person who wants to be living a life with drama everyday... just yesterday I said no one can break Wema Sepetu but today im jus broken... please atleast feel pity for me. Why me lord...? God this is too much... im getting weak... is dis wat uve always wanted... to break me...? Its soo hard. So so so hard... I jus want to hav peace... dats it..."
!! Stay Strong WEMA !!

9 comments:

Anonymous said...

well,that's part of life. just try to be calm,you don't need a medium attention my sister. also you don't need to write in english due to the fact that the grammar is too way off just use kiswahili dada yangu.

Anonymous said...

I HAVE A LITTLE ADVICE FOR YOU MY SISTER,WHAT IS HAPPENING TO YOU IS THE PRODUCT OF WHAT YOU YOURSELF CULTIVATED. YOU WANTED TO LIVE LARGE LIKE OTHER STARS IN THE WORLD.YOU HAVE BEEN BIG MOUTH TRY TO ADVERTISE YOURSELF AND MAKE PEOPLE BELIEVE AND UNDERSTAND YOU LIKE SOME KIND OF A SUPER PERSON WHO IN REALITY ARE NOT. PLEASE TRY TO BE YOURSELF DADA. HAD YOU KNEW OF WHAT YOUR IDOL STARS BEEN THROUGH YOU WOULD NEVER IMMITATE THEIR STYLE OF LIVING.BESIDES, YOU WISH BUT I DON'T THINK YOU ARE THAT TALENTED LIKE OTHERS, HOWEVER, I'M NOT DISAPOINTING YOU IN YOUR ENDEAVORS, WHAT I'M TRYING TO SAY IS STAY OUT OF DRAMAS, LIVE YOUR LIFE, BE REAL,WORK HARD, AND YOU WILL MAKE YOUR OWN NAME THROUGH CLEAN WAYS.I WISH YOU SUCCESS.
YOUR DEAR BROTHER, WASHINGTON USA.

Anonymous said...

u 2 need 2 write in swahili since u dont know the different between media and medium....lol

well.Wema anapenda drama huyu mtoto hadi anakera...diamond ana dem ana mimba unamchombeza wa nini ....kakukomesha..

Anonymous said...

ndio tatizo la ma dada zetu ..sasa wewe unayemshauri mwezako kuusu kutochanganya kiengereza na kiswahili kwa nini usiwe mfano...HAHAAHH...manake nikisoma ujumbe wako naona na wewe ndio walewale mnaoaribu lugha manake umeanzakwa kingereza halafu mwishoni umemalizia kiswahili.kwa kifupi ilo tatizo alipo kwa wema bali ni kwa asilimia nyingi ya dada zetu walioko nyumbani na ata waishio huku ughaibuni...Dada zangu wengi wenu unaochangaya mi nafkiri vingereza vyenu ni vya kubabaisha kwasababu kama lugha unaijua vizuri uwezi ukachanganya.
Ni maoni yangu tu!!!!
Mdau
Washington settles.

Anonymous said...

Mdau wa saa 1:37 Mdau wa Washington Sattles.
Wewe mwenyewe mbona umeandika kiswahili kibovu? na kiswahili ni lugha yako? kinachotakiwa ni kumshauri nini cha kufanya na sio kukosoana katika lugha. Kiingereza sio lugha yetu tumejifunzia mashuleni. jee na wewe ambaye kiswahili ni lugha yako je?, angalia makosa mengi niliyoyapa ngoja nikufundishe kiswahili maneno sahihi katika mabano
Kuusu(kuhusu), manake (maana yake), mnaoaribu (mnaoharibu), kingereza (kiingereza), ilo (hilo), alipo (halipo), ata (hata), uwezi (huwezi), Nenda shule ya kiswahili DC
mDAU

Anonymous said...

pole sana wema mdogo wangu hayo ni mapito tu fanya kazi ishi maisha yako mdogo wangu achana ha hao wajinga wivu unawasumbua wewe ni mrembo na utaendelea kua mrembo watajipanga

Anonymous said...

Yaani jamani sijui lini watanzania tutaacha uswahili na majungu yasiyo na maana.Oooh wewe hujui kiswahili fasaha,Oooh wewe hujui Kiingereza fasaha.Ujumbe wa Bibi Wema mmeshauelewa hata kama Kiingereza chake hakikuwa fasaha lakini ujumbe mmeuelewa na yeye kukosea kwake ndio kujifunza, Bila kukosea atajifunza vipi jamani? Acheni maneno maneno yasiyo na maana ili tusonge mbele Watanzania. Badala ya kumpa Ushauri mnazidi kumuumiza Zaidi wakati ameshawaambia maneno maneno yanamshinda nguvu sasa hana raha jamaaaani lakini Hamkomi Khaaa!! Inakera kwakweli!

Anonymous said...

Mdau wa 2:53pm.
Umeandika ya maana sana. Huwa ninakerwa na watu wanao kosoa na kama kulaani matumizi ya kiingereza wakati wao hata hicho kiswahili wanacho jigamba nacho hawakijui.
Hawa ni matokeo ya elimu duni kiasi ambacho hata lugha yetu yenyewe inawapiga chenga.
Mdau wa pili fuata ushauri, kajiunge na darasa la kiswahili. Na wanaojua unge'nge waache waumwage.
Ok bro?

Anonymous said...

wema anajua sana kiimombo kiingereza hebu chekini anavyosmea 24 hours hakusi kukizungumza sema nimesikitika sana kama kweli ndo yeye aliyeandika hivi sidhani yani sikutegemea kama ataandika kizungu kibovu namna hivi nadhani kuna mtu amemuandikia tena asiye kuwa na nia njema na yeye au kama kaandika yeye alikuwa katika hali isiyo ya kawaida kachanganya pombe au labda ndo furstration zime zidi lakini si dhani kama ndo yeye aliye andika hivi sidhani kabisa kasomo mtoto huyu namjua sana hawezi kuandika kizungu kibovu hivi au labda kataka kuji act kimarekani kuandika kizungu cha mitaani cha slang

next time wema usikopi mambo ya wamarekani wameishiwa waoo na uhuni wao