Monday, May 20, 2013

ABDALLAH KITWARA ALONGA NA VIJIMAMBO


Hii ni sehemu ya kwanza ya Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara. Akilonga na Vijimambo anaelezea maisha yake kwa ufupi, shule alizosoma na alishawishika na nini kufungua kampuni na kwanini alitumia VIZION yenye Z badala ya S mbali na Vizion One, Inc ana kampuni gani zingini hapa Marekani na Tanzania. MSIKILIZE

9 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Asante.
Kuna mengi ya kujifunza humu.

Anonymous said...

nice interview, very informative but aaah aaah aaah zimekuwa nyingi

Anonymous said...

nimeipenda, education is a key to a better life kila siku nabaeleza. at some point you will need your education

Anonymous said...

kijana yuko poa, well edudated,kakuwa vizuri oysterbay.hongera sana

Anonymous said...

Am so proud of you as a brother, tanzanian, etc, wewe ni mfano wa kuigwa,big up brother, god bless you

JABIR JUMA SEIF said...

Interview Nouri sana na yenye kuleta inspiration kubwa miongoni mwetu na kwa Jamii nzima kwa ujumla.

Anonymous said...

Nice interview,huu ni mfano wa kuigwa,Abdallah ameleta changamoto katika taswira mpya ya jamii haswa Taifa la sasa (vijana) hongera kwa safari ndefu ya kusukuma gurudumu la maendeleo,Mungu akubariki na kuendelea kukufungulia milango ya baraka.(Kamwano).

Baraka Daudi said...

Mzee Luke na Kaka Abdala maelezo mazuri sana. Kaka Abdalah ametupa changamoto nzuri sana. Asanteni sana na tutaifanyia kazi.

Anonymous said...

Nice interview but I would suggest a number of things that nimeona vina shortcoming for both Interviewer na Interviewee. Kwanza kabisa pongezi DJ Luke kwa juhudi zako za kuleta community pamoja kwa mambo mbalimbali. Ushauri wangu ni kwamba kazi yako itabidi uanze kufanya editing kwa zile sehemu ambazo hazina manufaa mazito ya kufikisha ujumbe. Vile vile editing ni muhimu sana kwa image unazoonyesha kwa mfano camera ikimulika documents ambazo hazikutakiwa kuonekana na public, unatakiwa u-edit mara moja kabla ya kurusha image. Za nyingine utakuta hata labda dada kakaa vibaya vitu kama hivyo ofcourse itabidi ku-edit as a courtesy.

Bwana Abdallah hongera na nimefurahishwa na forthcoming yako ya kuweza kushare information kwa uwazi sababu si wengi wanaoweza kufanya hivyo.

My concerns to you is the part that you started giving the facility tour. It seems to me some information was really not to be shared under no circumstance as they breach HIPAA compliance. E.g. pale ulipoonyesha majina ya watu kwenye files, certificate etc. This could bring big issues on the legal front.

****Suggestion: DJ Luke pull down the interview immediately from the site and re-edit to address the above concerns.

Kazi nzuri na hongera wote!