Saturday, May 18, 2013

ACHA KABISA KUCHEZEA UHAI, HAKUNA MZAHA WAKATI KIFO KINAPOTAKA KUTOKEA.

Mnyama anayeaminika kuwa ndiye mbabe katika pori (SIMBA) akitimua mbio kukwepa kipigo kutoka kwa nyati ambao wangehatarisha maisha yake baada ya zoezi la kuwinda kushtukiwa na kubadilishiwa kibao kama pichani inavyoonekanakatika moja ya hifadhi za taifa za wanyamapori hapa Tanzania ikiwa ni njia ya kujinusuru na kifo kutoka kwa nyati .

No comments: