Sunday, May 26, 2013

CCM YAFUNGUA SHINA HYATTSVILLE, MARYLAND

Chairman wa ccm DMV Mheshimiwa` George Sebo akiongea ana mjumbe wa NEC taifa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete kabla ya ufunguzi wa shina la CCM Hyattsville, Washington USA
  Viongozi wa shina jipya la ccm Hyattsville ( katikati) Mwenyekiti wa shina Mheshimiwa Anania Simon na katibu wa shina Bi Eva (kulia)
.Mwenyekiti ccm DMV George Sebo na mjumbe wa NEC taifa ridhiwani wakifuatilia taarifa ya maendeleo ya ccm kutoka kwa katibu wa Tawi Jacob Kinyemi
Wananchama na viongozi wa CCM  DMV wakiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa NEC, Bwn Ridhiwani Kikwete
Uongozi wa akina mama CCM DMV, Mama Kimolo (kushoto) na Aunty Grace katika picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa CCM DMV, Bwn. George Sebo (kushoto)katika picha ya pamoja na Katibu wake Bwn, Jacob kinyemi.
Uongozi wa CCM wakiongea jambo mjumbe wa net Bwn. Ridhiwani Kikwete.
Ridhiwani akimkabidhi katibu wa shina la hyattsville  bi Eva  Msowoya bendera na katiba ya CCM (picha na Tino Malinda)

No comments: