Saturday, May 25, 2013

MWAKILISHI WA TANZANIA BIG BROTHER AFRIKA 2013

Msimu mpya wa Big Brother barani Afrika umewadia na mara hii Tanzania itawakilishwa na mwanadada Fedha Kessy. Mchuano huo utaanza kesho Jumapili, Mei 26, 2013. Mwaka huu Big Brother ina washiriki 28 kutoka nchi 14 za Afrika.

No comments: