Enzi zile Bongo palipokuwa kisima cha burudani, katika kumbi za starehe wadau wanajaa,wanamuziki na bendi zao walikuwa wakijituma ,maisha ya watanzania yalikuwa na heshima yake,jirani anarusiwa kumuonya mtoto wa jirani yake,siku hizi waapi ? jaribu kumuonya mtoto wa jirani utakiona cha moto, eh ! we acha tu "Kasongo Urudie"
Utunzi wake Kikumbi mwanza Mpango Kyembe Mwema a.k.a King Kiki au "Bwana Mkubwa"
Wikiendi njema wadau wote
1 comment:
Hii kitu unaewza ukaiiangalia siku nzima asante ndugu yangu michuzi kwa kutuletea vitu kama hivi..usichoke kutukumbusha vijana wa zamani MASHAKA DC
Post a Comment